Home » LIFESTYLE » Download Sala Na Maombi Ya Kweli 9.8 Apk For Android
Download Sala na Maombi ya Kweli 9.8 Apk for android Apk

Sala Na Maombi Ya Kweli 9.8 Apk


Developer:Sachatech Ltd
Download Sala Na Maombi Ya Kweli 9.8 Apk
The description of Sala Na Maombi Ya Kweli 9.8 Apk

Download Sala Na Maombi Ya Kweli 9.8 Apk For Android - sala.namaombi, This Apk is for android version 4.4 and up. This APP listed in Lifestyle category, developed by Sachatech Ltd ..
Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii. App hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo; 1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vile:- Ndoa/Mahusiano Kazi Msamaha Masuala ya kifedha Uponyaji Nguvu za giza na mengine mengi. 2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani. 3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia. 4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vile:- Uponyaji Upendo Msamaha Ufufuo Ndoa/Mahusiano Imani nakadhalika 5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu. Mbali na hayo yote App hii inakupatia/itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vile:- Nyimbo za Injili Tenzi za Rohoni Nyimbo za Wokovu Nyimbo za Ibada Mwimbieni Bwana Nyimbo za Kristo Nyimbo za Imani Yetu Nyimbo za Wasanii Mbalimbali VIPENGELE MUHIMU KATIKA APP HII; 1. Sala na Maombi 2. Ibada Kila Siku 3. Visa vya Biblia 4. Gunduzi Muhimu 5. Unabii 6. Nyimbo za Ibada 7. Mafundisho ya Biblia NOTE: App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.

Sala Na Maombi Ya Kweli 9.8 Apk Specification

  • Version: 9.8
  • File size: -
  • Requires: Android 4.4
  • Package Name: sala.namaombi
  • Updated: 2024-08-21
  • Price: Free
  • 0 stars – based on 0 reviews
Related Apps